Basihaya, Dar es Salaam
Familia moja chini nyingine juu. Kila nyumba una vyumba vitatu, vyote master, na kuna public washroom. Kuna CCTV camera, Dstv, na internet. Nyumba zipo fully furnished. Bill ya Maji inalipwa na mwenye nyumba. Kodi kuanzia miezi mitatu. Hakuna hela ya Udalali, Connect straight na mwenye nyumba.